Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Muundaaji wa Filamu ya Royal Tour ambaye pia ni Mwandishi
wa Habari Maarufu Duniani Peter Greenberg wakati wakijibu maswali ya
Wageni mbalimbali mashuhuri waliohudhuria uzinduzi wa Filamu hiyo katika
ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18
Aprili, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
kabla ya uzinduzi wa filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa
Guggenheim Museum, New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Wageni
mbalimbali wakielekea ukumbini kushuhudia uzinduzi wa wa filamu ya
Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York
nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022. Kikundi
cha Ngoma za asili kutoka Bagamoyo kikitumbuiza katika uzinduzi wa
filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum,
New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Wageni
mbalimbali mashuhuri waliohudhuria uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The
Royal Tour katika ukumbi wa Guggenheim Museum, New York nchini Marekani
leo tarehe 18 Aprili, 2022.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akitazama Filamu ya Royal Tour pamoja na Wageni mbalimbali mashuhuri New
York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitazama Filamu ya Royal Tour pamoja na Wageni mbalimbali mashuhuri New York nchini Marekani leo tarehe 18 Aprili, 2022.
No comments:
Post a Comment