Hivi karibuni habari zilizokuwa zinaongoza katika vichwa vya habari vya vyombo vya habari hapa nchini ni kuhusiana na Wabunge na Madiwani kuhama vyama vyao na kujiuzulu nafasi zao. Jana tarehe 19 Desemba, 2017 Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa ameelezea mtazamo wake juu ya wanaohamahama vyama.
“Ni utaratibu wa siasa, watu wana hiari ya kusema nimefanya kazi hapa ngoja nikajaribu pengine, wengine wanataka kuandika historia, mimi sioni tatizo na nawatakia wanaohama heri, ila wasihame kwa kwenda kufanya fujo,” – Lowassa

No comments:
Post a Comment