Vichwa vya habari kuhusu suala la wafungwa walioachiwa kwa msamaha wa Rais zimezidi kuchukua nafasi, ambapo jana Mwenyekiti wa Mtaa wa Kiwalani, Rajabu Shaha anaeleza ukweli kuhusu taarifa za kuuawa kwa kijana anayeitwa Said Juma (23) maarufu kama 'Maskerepa' aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais lakini sio msamaha uliotolewa hivi karibuni wa Rais Magufuli.
“Watu baada ya kusikia kelele za mwizi, wakaamka na kuja kumuona walipomuona wakasema huyu ndo tulikuwa tunamtafuta, wakampiga wakamuua, alikuwa na historia ya wizi,” – Mwenyekiti Mtaa wa Kiwalani
“Watu baada ya kusikia kelele za mwizi, wakaamka na kuja kumuona walipomuona wakasema huyu ndo tulikuwa tunamtafuta, wakampiga wakamuua, alikuwa na historia ya wizi,” – Mwenyekiti Mtaa wa Kiwalani
No comments:
Post a Comment