
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro pamoja na Viongozi wengine wa Chama cha kuweka na kukopa
cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakiimba wimbo wa maadili ya ofisa wa
Polisi wakati wa hafla fupi ya kufunga Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama
hicho uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro ambapo aliwataka Viongozi hao
kuhakikisha kuwa Mikopo inawafikia walengwa kwa wakati ili waweze
kuboresha maisha yao.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama
cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakimsikiliza Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro( hayupo pichani) wakati wa
ufungaji wa mkutano huo uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro ambapo
aliwataka Viongozi hao kuhakikisha kuwa Mikopo inawafikia walengwa kwa
wakati ili waweze kuboresha maisha yao.(

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro pamoja na Viongozi wengine wa Chama cha kuweka na kukopa
cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakiwa katika picha ya pamoja na
wajumbe wa Mkutano Mkuu wa SACCOS hiyo wakati wa hafla fupi ya kufunga
mkutano huo uliokuwa ukifanyika mkoani Morogoro.
Picha na Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment