Pages

Wednesday, August 24, 2016

RAIS MAGUFULI AMTEUA DK KIPILIMBA KUWA MKURUGENZI MKUU WA USALAMA WA TAIFA

Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.
Rais Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Dk. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Rashid Othman aliyestaafu.

Dk. Modestus Kipilimba ataapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kipilima
Dkt Modestus Kapilimba, Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Usalama wa taifa

No comments: