Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe Shukuru Kawambwa (aliyesimama) akitoa hotuba wakati akifungua mkutano wa wakaguzi wakuu wa Shule kanda na Wilaya hapa nchini. Lengo la mkutano huo ni kuandaa uzinduzi wa mpango wa “Matokeo Makubwa Sasa” katika sekta ya Elimu. Kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo. Mkutano huo umefanyika jana Agosti 14,2013 kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment