WATUHUMIWA WA JENGO LILILO POROMOKA WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Mmoja wa watuhumiwa ambaye ameshitakiwa kwa makosa 24 likiwemo la kuuwa bila kukusudia Raza Hussein Radha akiwasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu jijini Dar es Salaam huku akiwa chini ya
ulinzi wa Jeshi la Polisi.
Picha ya juu watuhumiwa 10 kabla ya kupandishwa kizimbani. Picha ya chini watuhumiwa baada ya kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment