Habari tulizopata hivi punde ni kuwa kumetokea vurugu kati ya wananchi na wanajeshi katika maeneo ya Kawe baada ya mwanajeshi kumuua dereva wa bajaj.
Inasemekana kuwa barabara ya Kawe imefungwa na polisi wapo wanaendelea kuweka hali katika utulivu.
Tutakuhabarisha baada ya kupata taarifa kamili.......... STAY TUNED!!
PICHA ZA TUKIO
![]() |
Moshi wa mabomu ambayo yamerushwa na askari Polisi kuwasambaza wananchi ambao walikuwa wanalalamikia kuuwawa kwa dereva wa bajaji katika maeneo ya Kawe. |
No comments:
Post a Comment