MWILI WA MAREHEMU YOHANA, DEREVA WA BAJAJI WA KAWE
Huu ndio mwili wa marehemu Yohana aliyekuwa dereva wa bajaji ambaye inasemekana aliuwawa jana na askari wa JWTZ na kutupwa katika dimbwi hilo la maji. Tukio hilo lilisababisha vurugu kubwa kati ya wananchi na jeshi hilo.
No comments:
Post a Comment