Pages

Wednesday, April 3, 2013

WAKAZI WANAOISHI ENEO LA MABIBO EXTERNAL KWA KASIANI HATARINI KUKOSA MAWASILIANO YA BARABARA


Sehemu ya barabara ya eneo la kwa Kasiani ikiwa inamomonyoka kutokana na maji yanayopita kwa kasi katika moja ya mto unaopita pembeni mwa barabara hiyo. Jitihada za haraka zisipochukuliwa  barabara hiyo inaweza kupotea kabisa na wakazi wa eneo hilo wakakosa barabara kabisa.

Picha ya juu na chini nyumba hizi zipo hatarini kudondoka kutokana na mmomonyoko huo.

Pikipiki ikipita kwa uangalifu katika eneo hilo
                         
Lisipoangaliwa hili hata wakazi wanaoishi eneo hili wanaweza wasitumie barabara hiyo
kwa raha namna hii. 
                         
Sehemu ya barabara hiyo ikiwa inaendelea kumomonyoka hususani katika kipindi hiki
cha mvua kali zinazoendelea kunyesha.

No comments: