Kutoka kushoto ni baba wa marehemu Wile, mzee Wilson Mwendamseke, dada zake marehemu Wema na Wende Mwendamseke na mtoto wa marehemu, Wilson Wile Mwendamseke, wakiwa kanisani. |
Mchungaji akihubiri kanisani. |
Ivan Mwaipaja akisoma wasifu wa marehemu Wile katika Kanisala KKKT Mbezi Beach. |
Askofu Mstaafu, Elinaza Sendoro na mkewe wakiwa katika misa ya mazishi ya Wile. |
Kutoka kushoto ni mdogo wa marehemu, Peter Mwendamseke, marafiki wa marehemu Mdachi na Harold, baba mdogo wa marehemu Aggrey Mwendamseke (mwenye shati ya mistari). |
Mchungaji akihubiri katika misa ya mazishi ya Wile Hale Mwendamseke. |
Dada zake marehemu, Wema na Wende Mwendamseke wakiwa na mpwa wao Wilson Wile ambaye ni mtoto pekee wa marehemu. |
Mwili wa marehemu ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni tayari kwa mazishi. |
Baba wa marehemu, mzee Wilson Mwendamseke (mwenye suti) akiwa na dada yake Mrs. Esther Mwaipaja (mwenye gauni jeupe) wakiwa makaburini. |
Mtoto wa marehemu, Wilson Wile akiwa amebeba msalaba. |
Ndugu wa marehemu, kutoka kushoto ni Samuel Maselle, Forty Nyirenda na shemeji wa marehemu. |
Ndugu mbalimbali waliohudhuria mazishi katika makaburi ya Kinondoni. |
Mama wa marehemu, Dr. Ada Nancy Mwendamseke (wa pili kushoto mwenye miwani) akiweka mchanga kaburini. Wengine ni dada wa marehemu, Wema na mke wa marehemu, Lilian. |
Mke wa marehemu, Lilian na mwanae Wilson wakiweka mchanga Kaburini. |
Baba na dada wa marehemu (wenye nguo nyeusi katikati) wakiweka mchanga kaburini. |
Shangazi wa marehemu akiweka mchanga kaburini. |
Dada zake marehemu, Wema na Wende wakiweka shada la maua kaburini. |
Kaka wa marehemu, Ezekiel Chanimbaga akiweka shada la maua. |
Shangazi wa marehemu, Mrs. Esther Mwaipaja akiweka shada la maua. |
Msaidizi wa Askofu wa KKKT, George Fupe akiweka shada la maua. |
Ndugu mbalimbali waliokuwepo makaburini baada ya mazishi. |
Mdogo wa marehemu, Edward Lila (Kulia) akiwa na ndugu wengine mara baada ya kumaliza mazishi. |
No comments:
Post a Comment