Pages

Wednesday, April 3, 2013

UZINDUZI WA REDDS MISS TABATA NA MZIZIMA WAFANA DAR WEST PARK


Mkuu wa itifaki wa kamati ya Miss Tanzania akiwa na kiongozi wa bendi ya  Twanga  pepeta  katika
uzinduzi wa shindano la kumsaka Mrembo wa Tabata na Msimbazi.  Uzinduzi huo ulifanyika
 katika ukumbi wa Dar West Park Tabata jijini Dar es Salaam.
Warembo wa Msimbazi wakiwa katika pozi.



Picha ya juu na chini Warembo wa Redds Miss Mzizima katika catwalk siku ya uzinduzi. 

Warembo wa Mzizima katika picha ya pamoja wakiwa wamepiga pozi la kimiss.

Baadhi ya warembo wa wa shindano la Redds Miss Tabata wakiwa katika pozi
katika uzinduzi wa shindano hilo


Picha ya juu na chini warembo watakaoshindania taji la Redds Miss Tabata. 


Baadhi ya wapenzi waliojitokeza katika uzinduzi huo.




                            




Kundi la Twanga Pepe wakiwa kazini katika uzinduzi huo ambao ulidhaminiwa na
 kampuni ya Konyagi  -TDL

Joseph Chibehe, Meneja Masoko wa TDL akiteta jambo na mwandaaji wa Miss  Tabata  Fredy  Ogoti
 katika uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Dar West jijini Dar es Salaam. Kampuni ya TDL
 kupitia kinywaji chake cha Konyagi ndio waliodhamini uzinduzi huo. 
                            





                            





Warembo wa Redds Miss Tabata na Miss Mzizima wakiwa katika shoo maalum ya pamoja
ya uzinduzi wa mashindano hayo katika ukumbi wa Dar West Tabata  jijini DSM.

No comments: