Pages

Sunday, April 14, 2013

SIMBA, AZAM WATOSHANA NGUVU WATOKA SULUHU 2-2



Mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Azam FC, Joockins Atudo wakati wa mchezo wa Ligi Kuu  Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2.


Wachezaji wa Timu ya Simba wakishangilia baada ya kupata goli la pili. 

Mao (kulia) na Salum Abubakar wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya mabao 2-2. 

1 comment:

Anonymous said...

Write more, thats all I have to say. Literally, it seems as though you relied
on the video to make your point. You clearly know what youre talking about, why waste your intelligence on just posting videos to your blog when you could be giving us something
enlightening to read?

Feel free to visit my blog - naszka.pl