Pages

Sunday, April 14, 2013

KINANA AANZA ZIARA MKOANI MOROGORO LEO


                             
Baadhi ya waendesha pikipiki wakionekana kuwa na hamasa kubwa wakati wakisindikiza msafara wa Kinana kuingia mjini Morogoro leo, (Picha zote na Bashir Nkoromo).
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro, Innocent Edward, wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika eneo la Nane Nane, nje kidogo ya mji wa Morogoro, leo. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Morogoro mjini Fikiri Juma. Kinana amewasili mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya siku nane kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa ilani ya CCM.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na  wanachama wa CCM mara baada ya  kuwasili  mjini Morogoro kwa ziara ya kichama.

                                                             
Kinana akizungumza na wanachama wa CCM mara baada ya kuwasili  mkoani Morogoo ambapo hii leo  ameanza  ziara  yake katika mkoa huo

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akijaribu moja ya bikipiki zilizo jitokeza kumlaki katibu mkuu Abdulrahmani Kinana eneo la Nane nane mkoani Morogoro.
 
 

No comments: