Pages

Monday, April 15, 2013

BIA YA SAFARI LAGER YATWAA TUZO YA UBORA BARANI AFRIKA


Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ushindi walioupata.  Amefafanua pia kuwa kombe la ushindi walilopata watalipeleka Bungeni, Dodoma Alhamisi wiki hii na kisha watalizungusha maeneo mbalimbali nchini.  Kulia kwake ni mratibu wa ziara hiyo, Bw. Innocent Melleck.

Oscar Shelukindo (pichani) ambaye ni Meneja wa bia ya Safari Lager akionesha vikombe vya ubora walivyoshinda.

1 comment:

Anonymous said...

hongera sana TBL - Safari Lager