Pages

Tuesday, April 9, 2013

RAIS WA KENYA MHE UHURU KENYATTA ALA KIAPO LEO


Rais wa kenya wa awamu ya nne Mhe Uhuru Kenyatta akisalimia umati wa watu waliojitokeza katika  sherehe ya  kuapishwa kwake iliyofanyika katika viwanja Kasarani jijini Nairobi. Sherehe hizo pia zilihudhuriwa na Marais 11 kutoka nchi mbalimbali akiwemo Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania.



Rais mpya wa Kenya Uhuru Kenyatta akihutubia umati wa watu waliohudhuria sherehe hizo zilizofanyika katika viwanja vya Kasarani jijini Nairobi.

Rais Uhuru Kenyatta akisalimiana na Makamu wake, William Ruto.

Rais Uhuru Kenyatta akila kiapo cha kuwa Rais wa awamu ya nne wa nchi ya Kenya.

Rais  wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni akisoma Hotuba kwa niaba ya Marais wengine waliohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Kenya zilizofanyika katika viwanja vya Kasarani jijini Nairobi.  



No comments: