Pages

Wednesday, April 10, 2013

MTANDAO WA KUSAIDIA WANAFUNZI WA SEKONDARI WAANZISHWA


 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillipo Mulugo (kulia) akibonyeza kitufe katika laptop kuashiria kuzindua rasmi wavuti ya www.shuledirect.co.tz.  Kulia kwake ni mwanzilishi wa wavuti hiyo, Faraja Kota Nyalandu na nyuma ni baadhi ya wanafunzi wakishuhudia tukio hilo.Mtandao huo utawawezesha wanafunzi wa sekondari na jamii ya Tanzania kwa ujumla kujifunza kupitia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA).


Mratibu Mwanzilishi wa wavuti ya shuledirect, Faraja Kota Nyalandu
akiongea na wageni waalikwa kwenye hafla hiyo iliyofanyika
katika ukumbi wa Serena Hotel.



Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillipo Mulugo (kulia) akiwaonesha baadhi ya wanafunzi waliokuwepo katika uzinduzi, wavuti
hiyo mpya ya www.shuledirect.co.tz.

No comments: