Pages

Thursday, April 11, 2013

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE DAKTA JAKAYA KIKWETE AWEKA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UINGEREZA, BI MARGARET THATCHER


Rais Dakta Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Waziri Mkuu
wa Uingereza Margaret Thatcher katika ofisi za ubalozi wa Uingereza jijini Dar es Salaam. 
Waziri Mkuu huyo alifariki kwa ugonjwa kupooza akiwa
na umri wa miaka 87 (picha na Fred Maro)


No comments: