Pages

Monday, April 15, 2013

CRDB YAKABIDHI MADARASA NA MADAWATI SHULE YA MSINGI ITAMBALILA MBEYA VIJIJINI


Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Vijijini, Dk. Norman Msigalla (mwenye suti nyeusi) akikata utepe kufungua rasmi madarasa yaliyojengwa kwa msaada wa benki ya CRDB kwa ajili ya Shule ya Msingi Itambalila katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Itambalila, Mbeya. Kushoto ni Mkurugenzi wa
Masoko wa Benki hiyo, Tully Mwambapa.

Madarasa yaliyojengwa na benki ya CRDB.

Mkurugenzi wa Masoko wa benki ya CRDB, Tully Mwambapa akifurahia zawadi ya kuku aliyopewa na wanakijiji wa Itambalila, Mbeya baada ya kukabidhi madarasa na madawati. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya vijijini Dr.Norman Msigalla.

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Vijijini, Dk. Norman Msigalla (katikati) akiwa na wanafunzi wa Shule ya Msingi Itambalila mara baada ya benki ya CRDB kukabidhi msaada wa Madarasa na madawati.

No comments: