Pages

Tuesday, April 16, 2013

MFUKO WA AFYA YA JAMII (NHIF) WAPELEKA MADAKTARI KIGOMA

Kaimu Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Ramadhan Maneno akifungua rasmi mpango wa NHIF wa madaktari bingwa kutoa huduma katika hospitali ya Rufaa Maweni.

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mdee akikabidhi vifaa na dawa zitakazotumiwa na madaktari hao kwa muda wa siku saba kwa uongozi wa Mkoa.

Sehemu ya wagonjwa ambao wamejitokeza kukutana na madaktari hao ambapo uongozi wa Hospitali hiyo tayari unayo majina 250 ya wagonjwa ambao tayari wametambuliwa kukutana na madaktari hao.

Uongozi wa Mkoa, NHIF na Madaktari bingwa wakiwa katika picha ya pamoja tayari kwa kuanza kazi ya kuona wagonjwa.


Kaimu Mkuu wa Mkoa akikabidhi vifaa hivyo kwa uongozi wa mkoa muda mfupi baada
 ya kupokea kutoka kwa uongozi wa NHIF.


1 comment:

Anonymous said...

Hello, its good post concerning media print, we all understand media is
a fantastic source of facts.

Also visit my web page ... tkaniny zasłonowe warszawa