Pages

Wednesday, April 3, 2013

RAIS WA ZANZIBAR DAKTA SHEIN AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA CHINA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na
Balozi Mdogo wa China anayeishi Zanzibar, Bibi Chen Qiman, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
(Picha na  Ramadhan Othman,Ikulu.)




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana na
 Balozi Mdogo wa China aneyeishi Zanzibar, Bibi Chen Qiman (kushoto) mara baada ya mazungumzo
yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu).

No comments: