Pages

Friday, March 29, 2013

PICHA ZAIDI ZA GHOROFA LILILOANGUKA


Waziri wa Mambo ya Ndani, Dr. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala, Marieta Minangi.
Katikati ni Kamanda wa Polisi kanda maalumu DSM, CP Suleiman Kova wakiwa eneo la tukio.



Kamanda Kova akifafanua jambo kwa James Mbatia (Mbune wa kuteuliwa).



Kamanda Kova akihojiwa na vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na tukio hilo.



Wananchi wakijaribu kuokoa gari lililokuwepo kwenye eneo la tukio.

Ulinzi ukiwa imara katika eneo la tukio.




Mtoto aliyeokolewa katika eneo la tukio.
 

No comments: