MAFURIKO YASABABISHA BARABARA YA MARANGU - MOSHI KUTOPITIKA KWA MUDA
Gari la mizigo likiwa katikati ya maji huku dereva wa gari hilo na utingo wake wakiogopa kushuka
kutokana na kasi ya maji. Maji hayo yaliziba daraja hilo lililopo eneo la Uchira katika barabara kuu
ya kuingilia Moshi mjini. Tukio hilo lilitokea usiku jambo ambalo ni hatari kwa maisha.
Baadhi ya watu waliokwama wakiangalia na wengine kupiga picha za kumbukumbu.
Baadhi ya magari yaliyokwama yakisubiri mafuriko yaishe.
Baadae waliendelea na safari baada ya maji hayo kupungua.
No comments:
Post a Comment