Pages

Friday, March 29, 2013

RAIS KIKWETE ATEMBELEA GHOROFA LILILO POROMOKA JIJINI DAR ES SALAAM


Rais Dakta Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia jinsi ghorofa lilivyo poromoka akiwa na  Mama Salma Kikwete pembeni kulia kwake amevaa kanga. Nyuma yake  ni umati wa watu waliojitokeza kushuhudia tukio hilo. 

Rais akipata maelezo  kutoka kwa kamanda wa Polisi kanda maalumu  ya Dar es Salaam (CP) Suleiman  Kova.  Kulia kwa  Rais ni  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam MheSaid Meck Sadiq.

Rais Kikwete na Mama Kikwete wakiwasili eneo la tukio. 




Rais akishuhudia tukio hilo; nyuma yake ni umati wa watu waliojitokeza kushuhudia ajali hiyo ya kusikitisha. 


No comments: