Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Janeth Mbene akikagua kwa ndani mojawapo ya nyumba
za mradi wa PSPF.
Moja ya nyumba hizo, zilizopo Chanika, Buyuni - Dar es Salaam.
Mhe. Janeth Mwambene akiendelea na ukaguzi wa nyumba hizo.
Mhe. Janeth Mbene akikagua jengo la kitegauchumi la PSPF lililopo katikati ya jiji la DSM.

Sehemu ya jengo pacha la kitegauchumi la Mfuko wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF) linalotegemewa kugharimu jumla ya Shilingi bilioni 32 likiwa katika ujenzi.
Sehemu ya jengo hilo.
(Picha zote na Shabani Tolle)
No comments:
Post a Comment