Pages

Friday, March 29, 2013

MWIZI WA BAJAJI AKAMATWA APATA KIPIGO CHA NGUVU


Kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa amezungukwa na wananchi wenye hasira  maeneo  ya Afrikana kwa Zena Kawawa baada ya kumpiga kwa tuhuma za kufanya jaribio la kutaka kupora
pikipiki ya miguu mitatu (bajaji) akiwa yeye na wenzake ambao walifanikiwa kukimbia.

Kijana huyo akiwa ajieleza mbele ya wananchi huku akiwa amechoka kwa kipigo.

Baadhi ya wananchi wakionyesha jino ambalo amekutwa nalo kijana huyo mfukoni  ambalo
walilihusisha na  suala  la ushirikina.


Jino ambalo walimkuta nalo mfukoni. 

Kijana huyo akiwa katika bajaji ambayo alitaka kuipora akiwa na wenzake.  Mbele ni dereva wa bajaji
hiyo ambaye alisema aliwazidi nguvu wezi hao kabla ya wenzake kutokea na kumsaidia.

Mtuhumiwa huyo akiwa amepakiwa katika bajaji tayari kufikishwa katika vyombo vya sheria. 

Badhi ya wananchi wakikimbiza bajaji iliyo mbeba mtuhumiwa huyo wakidai kuwa
kichapo alichopata hakitoshi 

Bajaji ikimpeleka mtuhumiwa huyo Polisi ili mtuhumiwa huyo awataje wenzake
kwa nia ya kukomesha vitendo hivyo.

Tunaomba radhi, picha haziko vizuri sana kutokana na kuwa zilipigwa usiku.

No comments: