Pages

Friday, March 29, 2013

BREAKING NEWS!! GHOROFA LAANGUKA DAR






Jengo linalokadiriwa kuwa na ghorofa zaidi ya 15 limeangua jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Jengo hilo lililopo katika makutano ya mtaa wa Indira Ghandi na Morogoro road inasemekana limeanguka na hadi sasa bado sababu hazijfahamika.

Habari zisizo rasmi zinasema kuwa kulikuwa na watu waliokuwa wanaishi kwenye jengo hilo na kwamba kuna baadhi ya watu wamefukiwa na jengo hilo.  Hata hivyo, zoezi la kuokoa waliofukiwa linaendelea pamoja na vifaa vya uokoaji kuwa ni tatizo.

Tutawaletea habari zaidi baadae....... STAY TUNED!!

No comments: