Mmoja wa majeruhi.
(Na Ipyana Mwaipaja)
Kuna taarifa kuwa askari wanne (4) wameuwawa mjini Mombasa katika mashambulizi kati ya askari na wafuasi wa kundi la pwani, Mombasa Republican Army (MRA).
Askari hao wameuwawa usiku wa kuamkia leo (siku ya uchaguzi wa Rais) wakati wakiwa katika doria ya kawaida.
Hadi sasa bado haijajulikana ni raia wengine wangapi waliofariki au kujeruhiwa.
Taarifa zaidi zitakuja baadae..... endelea kufuatilia ktk blog hii.
Source: www.bbc.co.uk/swahili
No comments:
Post a Comment