Pages

Tuesday, March 5, 2013

GODOWN YAUNGUA SHEKILANGO, UBUNGO LEO


Jengo la godown hilo likiwa bado linaungua.

Sehemu ya ndani ya godown hilo ikionesha vitu mbalimbali
vilivyoungua na moto huo.


Na S. Tolle
Moto umezuka katika 'godown' la vifaa mbalimbali lililopo Ubungo, Shekilango nyuma ya jengo la Millenium Business Park na kusababisha hasara ambayo bado haijajulikana ni kiasi gani. 

Moto huo inasemekana ulianza majira ya saa 4.00 asubuhi na hadi mwandishi wetu anaondoka eneo la tukio saa 12.00 jioni, moto huo ulikuwa bado haujazimika na watu wa 'fire' wakiendelea na jitihada za kuumaliza moto huo.


 Gari la zimamoto likiwa katika eneo la tukio.

Vifaa vilivyomo ndani ya 'godown' hilo. 







Wafanyakazi wa Fire wakiwa kazini katika jitihada za kuuzima moto huo.
(Picha zote na Shabani Tolle)

1 comment:

rodrick said...

helo Tolle, hongera kwa jitihada. Niki-browse picha hizi naona ulichelewa tukio halisi la moto kuwaka kwa fujo. Naona Okanda aliwahi katika upeo wa tukio, picha zake zilionesha moto wenye hasira ukiwaka na kuteketeza mali na jitihada wa wazima moto kuzima moto huo huku wakishuhudiwa na makundi wa watazamaji. Basi siku ukijaaliwa usitupe baada ya tukio, tupe tukio halisi.