Barabara hiyo ikiwa imejaa maji hadi kushindwa kupitika kirahisi kwa baadhi ya magari. Barabara hii haina muda mrefu toka ikamilishwe ujenzi wake.
Magari yakipita kwa taabu katika barabara hiyo leo baada ya mvua kunyesha.
Kukosekana kwa mitaro pembeni mwa barabara hiyo ndio chanzo haswa cha maji kujaa. Wahusika liangalieni hili.
No comments:
Post a Comment