Pages

Tuesday, February 13, 2018

KISUTU: DIAMOND, MOBETO WAMALIZANA MAHAKAMANI


Mahakama imeifuta kesi ya madai ya matunzo ya mtoto iliyofunguliwa na Hamisa Mobeto dhidi ya mwanamuziki Diamond Platinumz baada ya wawili hao kupatana.

No comments: