Karani mmoja wa Bodi ya Mitihani nchini Nigeria, Philomena Chieshe amefukuzwa kazi baada ya kuwaambia wakaguzi wa hesabu kuwa nyoka alikula Naira milioni 36 ambazo ni dola 100,000 (Tsh milioni 227) alizokuwa amekusanya.
Bodi hiyo ya mitihani imesema kuwa imeyakataa madai yake na imepanga kumchukulia hatua za kinidhamu.
Kisa hicho kimezua shutuma na dhihaka kwenye mitandao ya kijamii nchini Nigeria. Nayo Tume ya kupambana na rushwa nchini Nigeria iliandika ujumbe huu katika Twitter ambayo nembo yake ni mwewe.

No comments:
Post a Comment