Pages

Friday, November 24, 2017

SERIKALI KUBORESHA MFUMO WA ELIMU - MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt John Magufuli itaboresha mfumo wa elimu ili kuweza kumwandalia mwanafunzi mazingira bora ya kielimu.

Majaliwa amesema hayo wakati akizungumza na wanafunzi wa sekondari Nasuri iliyopo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma.

Waziri Majaliwa yupo ziarani mkoani Ruvuma kwa siku tatu.

Tazama video yake hapa chini:


No comments: