
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein walipokutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2017
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment