Pages

Thursday, April 28, 2016

VIDEO CLIP MBALIMBALI ZA YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA LEO 28/04/2016

Bunge (1)
SIMU.TV: Mhe.Shangazi aihoji serikali juu ya kurejesha silaha kwa wananchi waliopokonywa silaha wakati wa oparesheni tokomeza; https://youtu.be/fuOH6fmxTmg

SIMU.TV: Mhe.Mwita aitaka serikali kusimamia wakandarasi kuhakikisha wanajenga mifereji mikubwa katika barabara zote ili kuzuia mafuriko; https://youtu.be/PfxQ7FT8hx8  

SIMU.TV: Mhe.Kuchaukaa aihoji serikali juu ya utekelezaji wa sera ya ujenzi kama alivyoahidi rais Magufuli katika kampeni;https://youtu.be/AsXZhKe8nPY

SIMU.TV: Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa atoa ufafanuzi juu ya kukabiliana na balaa la njaa kwa wananchi wa Igunga waliokubwa na mafuriko. https://youtu.be/wPzB45nqFi4


No comments: