Mkuu
wa mkoa wa Mwanza.John Mongella akipokelewa na viongozi na wadau wa
michezo alipowasili uwanja wa CCM Kirumba kuzindua mashindano ya COPA
UMISSETA
Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza, Hamis Maulidi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Katibu wa Baraza la Michezo la Taifa(BMT), Mohamed Kiganja akizungumza katika uzinduzi wa mashindano hayo.
Meneja masoko wa wa kampuni ya vinywaji baridi ya Cocacola Kanda ya Ziwa, Marco Masaka akizungumza katika uzinduzi huo.
Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella akipiga mpira kuzindua mashindano ya
Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (COPA UMISSETA) ambayo
yanadhaminiwa na kampuni ya vinywaji ya Cocacola jana kwenye uwanja wa
CCM Kirumba.
No comments:
Post a Comment