Pages

Saturday, July 18, 2015

STEVE NYERERE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE KINONDONI

Msanii wa filamu na kuigiza sauti, Steven Mengele 'Steve Nyerere' (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 Mwaka huu nchini kote.


Msanii wa filamu na kuigiza sauti, Steven Mengele 'Steve Nyerere'akizungumza na waandishi wa habari juu ya adhma yake hiyo.


Wasanii na watu wengine mbalimbali waliojitokeza kumsindikiza Steve Nyerere kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Kinondoni, wakifuatilia tukio hilo.


Wasanii wa Filamu 'Bongo Movie' ambao walimsindikiza Steve Nyerere kuchukua fomu.

No comments: