Pages

Thursday, July 30, 2015

LOWASSA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA LEO ASUBUHI

Mhe. Edward N. Lowassa (kulia) akiongea na waandishi wa habari siku alipotangaza rasmi kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).  Kulia kwake ni Mhe. Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema akifuatiwa na Mhe. James Mbatia ambaye ni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi.
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa ambaye juzi tarehe 28 Julai amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo asubuhi anatarajia kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.

Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu imearifu kuwa Lowassa atachukua fomu leo saa tano asubuhi katika Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo Kinondoni.

No comments: