Pages

Sunday, July 12, 2015

BREAKING NEWZZZ: SAMIA SULUHU HASSAN AWA MGOMBEA MWENZA

Dk Samia Suluhu Hassan.
Mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2015, Dk John Pombe Joseph Magufuli amemteua Dk Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wake mwenza.

Dk Magufuli amemtangaza mgombea mwenza huyo muda mfupi ulipita katika hotuba yake ya shukrani kwa wana CCM kwa kumchagua kuwa mgombea wa kiti cha urais kwa tiketi ya CCM.

No comments: