
Kwa mujimu wa Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Reli Tanzani, Midladjy Maez
amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa tano usiku baada ya Mabehewa matatu
kuacha njia na mengine manne kuegama na kusababisha abiria mmoja alietambulika
kwa jina la Ashura Mrisho aliyekuwa akitokea Ngerengere kwenda Tabora
kujeruhiwa na baada ya kuangukiwa na mizigo.

Mabehewa 13 yamerejeshwa Morogoro ili kufanyika utaratibu wa kuwapangia
usafiri mbadala abiria wa treni hiyo. Taarifa zaidi zitafuata wakati Uongozi wa
TRL, Wahandisi na Mafundi wa reli wakishughulikia ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment