Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akimuapisha Mh. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, jana Ikulu Jijini Dar es Salaam. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimkabidhi hati ya kiapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mwigulu Nchemba mara baada ya kumuapisha jana Ikulu Jijini Dar es Salaam. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Charles Tizeba kuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi jana Ikulu Jijini Dar es Salaam. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akisaini hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba jana Ikulu Jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment