Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo (katikati) akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini
Dar es Salaam kuhusu mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi Tanzania Bara, ambao unaotarajiwa kufanyika leo na kesho. Kushoto kwake ni Kamishina wa Elimu
Tanzania Prof. Eustela Bhalalusesa na kulia kwake ni Naibu Katibu Mtendaji
Baraza la Mitihani Tanzania Dkt. Charles Msonde.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika kutekeleza majukumu yao katika mkutano na Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo (hayupo kwenye picha) jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumzia kuhusu mtihani wa taifa wa darasa la saba, unaotarajiwa kufanyika Septemba 11 na 12 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment