Katibu Mkuu mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Florence Turuka (aliyesimama) akizungumza na Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (hawapo pichani) baada ya kuwasili rasmi katika Ofisi hiyo jana tarehe 10 Septemba, 2013.
Baadhi ya Wakurugenzi katika Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Bw. Florence Turuka (hayupo pichani) alipowasili rasmi kuanza kazi katika Ofisi tarehe 10 Septemba,2013 Asubuhi.
No comments:
Post a Comment