Eunice Chiume (kulia mwenye tshirt kijani) ambaye ni Mkuu wa Idara ya Uhusiano NSSF Taifa, akisikiliza maelezo yanayotolewa na Afisa Mfawidhi Matekelezo NSSF Morogoro, Christopher Msagati (katikati) kwa mmoja wa wanachama wa mfuko huo katika viwanja vya mwalimu Julius Nyerere maarufu Nanenane uliopo nje kidogo ya mji wa Morogoro. |
No comments:
Post a Comment