Pages

Wednesday, August 21, 2013

MABONDIA RAMADHANI SHAURI NA COSMAS CHEKA WASAINI MKATABA KUPAMBANA 27 MWEZI WA KUMI



Bondia Ramadhani Shauri kushoto akisaini mkataba wa kucheza ubingwa wa UBO utakaofanyika tarehe 27 mwezi wa 10 jijini Dar es salaam na mpinzani wake kushoto Cosmas Cheka wa Morogoro wengini ni Promota Kaike Silaju na Makamu Mwenyekiti wa PST Aga Peter nyuma picha
Promota wa Mpambano wa Ubingwa wa UBO Kaike Siraju katikati akiwanyoosha mikono juu mabondia Ramadhani Shauri kushoto na Cosmas Cheka watakaopigana tarehe 27 jijini Dar es salaam 

No comments: