"LETENI ZAKA KAMILI GHALANI, ILI KIWEMO CHAKULA KATIKA NYUMBA YANGU, MKANIJARIBU KWA NJIA HIYO, ASEMA BWANA WA MAJESHI; MJUE KAMA SITAWAFUNGULIA MADIRISHA YA MBINGUNI, NA KUWAMWAGIENI BARAKA, HATA ISIWEPO NAFASI YA KUTOSHA, AU LA, NAMI KWA AJILI YENU NITAMKEMEA YEYE ALAYE, WALA HATAHARIBU MAZAO YA ARDHI YENU; WALA MZABIBU WENU HAUTAPUKUTISHA MATUNDA YAKE KABLA YA WAKATI WAKE KATIKA MASHAMBA, ASEMA BWANA WA MAJESHI ." (MALAKI 3:10-11)
Zifuatazo ni picha mbalimbali za kanisa hilo lilivyo kwa sasa:
Sehemu ya lango kuu la kuingia kanisani. |
Sehemu ya madhabahu ya kanisa hilo. |
Kanisa hili la KKKT usharika wa Misugusugu lipo barabarani upande wa kushoto kama unatoka Dar es Salaam kwenda Morogoro. Uzinduzi wa harambee ya kuchangia ujenzi utafanywa na Msaidizi wa Askofu, Mch. George Fupe, kesho tarehe 18 Agosti 2013 kuanzia saa 2.00 asubuhi. Wote mnakaribishwa kuchangia ujenzi wa nyumba ya Bwana.
Mtolee Bwana kwa kuchangia ujenzi wa kanisa hili. Kwa mchango wasiliana na:
1. Mwinjilisti Samwel Mwakalobo, Simu Na. 0786/0767-325726
2. Aggrey Mwendamseke (Mzee wa Kanisa) Simu Na. 0754/0782/0715 - 307194
No comments:
Post a Comment