Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ushindi walioupata. Amefafanua pia kuwa kombe la ushindi walilopata watalipeleka Bungeni, Dodoma Alhamisi wiki hii na kisha watalizungusha maeneo mbalimbali nchini. Kulia kwake ni mratibu wa ziara hiyo, Bw. Innocent Melleck. |
1 comment:
hongera sana TBL - Safari Lager
Post a Comment