 |
Mhe Dakta Mrisho Jakaya Kikwete akizindua rasmi taarifa ya utafiti kulia kwake ni Waziri mkuu Mhe Mizengo Pinda na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Said Meck Sadiq kushoto Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti ukimwi-TACAIDS Bibi Fatuma Mrisho na Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri mkuu sera uratibu na bunge Mhe Wiliam Lukuvi. |
 |
Rais Kikwete akinyanyua juu taarifa mara baada ya uzinduzi kulia Waziri mkuu Mhe Mizengo Pinda kulia Mkurugenzi wa (TACAIDS) Bibi Fatuma Mrisho |
Mkurugenzi wa TACAIDS akihutubia huku meza kuu ikifuatilia kwa makini katika uzinduzi huo uliofanyika jijini leo
 |
Rais kikwete akipitia taarifa mara baada ya kuizindua kulia kwake ni Waziri mkuu Mhe Mizengo Pinda kushoto kwake Waziri wa Afya na ustawi wa jamii Mhe Dakta Hussein Mwinyi na Waziri wa fedha Mhe William Mgimwa. |
 |
Wadau mbalimbali ambao wakifuatilia mchakato mzima wa uzinduzi huo ambao umefanyika katika ukumbi wa Karimjee Hall jijini Dar es Salaa |
No comments:
Post a Comment