Watu 41 wameripotiwa kufariki katika mapigano ya kikabila yaliyotokea Kaskazini-Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mapigano hayo yametokea baina ya jamii ya Lendu ikiwa jamii ya wakulima na jamii ya Hema ambao wengi wao ni wafugaji Kaskazini-Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.
Kiongozi wa jamii ya Bahema Kaskazini Willy Mulindo ameliambai Shirika la Habari la Anadolu kuwa jamii ya Lendu ilishambulia vijiji vya Kayuba, Jo na Gbi na kusababisha vifo vya watu 39 .
Taarifa zilizotolewa na kituo cha redio ya Okapi zilifahamisha kuwa kitongoji cha Ngaliko wahalifu waliwaua watu wawili na kumteka mmoja.

No comments:
Post a Comment