Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corparation- NHC), Blandina Nyoni na kuvunja bodi hiyo kuanzia leo 21 Machi 2018.
Aidha, katika taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imesema kuwa uteuzi wa Mwenyekiti mwingine na bodi hiyo utafanyika hapo baadae.
Aidha, katika taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imesema kuwa uteuzi wa Mwenyekiti mwingine na bodi hiyo utafanyika hapo baadae.
No comments:
Post a Comment